Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunaomba mwongozo juu ya ufugaji wa kuku hao nahitaji hii mbegu tafadhali.
Naomba utusaidie kutufafanulia kwanini unasema ufugaji wa kuchi hauna faida?Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama.
Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi.
Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu
[emoji28][emoji28][emoji28]Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama.
Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi.
Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu