Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

Wala sijaja kufuata consultation humu, huku kwetu kuna watu wanaitwa "Bwana/Bibi Shamba". Wewe naona ndiyo unatoa online consultation ya kujitolea!
Hahaha una wasiwasi sana mkuu, me mkulima tu kama wewe.
 
DAAAH MKUU WE ACHA TUU, NAKUMBUKA SIKU HIYO NIPO SOKONI NIMEWASINDIKIZA WANA WAMETOKA KUVUNA TIKITI ZAO YAANI WALIKODI TANDAM {FUSO DOUBLE DIFF} IKAJAA TIKITI, KUFIKA BUGURUNI TUKAWA PEKE YETU BASI MZIGO UKASHUSHWA FRESH TUU.. ILE KUAMKA ASUBUHI TUKAKUTA SEMI TRELA IKO NJE IMEJAA TIKITI.. TUMEKAA KIDOGO GHAFLA IKAINGIA CANTER.. TUNATOKA NJE TUNAKUTA KUNA FUSO IMEJAA TIKITI DAAAH YAANI NILIKUWA NAONA MDA HAUENDI IASEE..

N WAY.. Dhumuni sio kakatisha watu tamaa ila kuna kitu kinaitwa kuwa na taarifa kamili ya soko hasa kwa haya mazao ya mboga mboga na matunda yasiyoweza kukaa sana. kwa upande wa mahindi unaweza kaa nayo hata miaka na yasiharibike.. kwa hiyo vijana tulime lkn tuwe na taarifa kamili kuepuka hasara zisizo na kichwa ala miguu.......
Uko sawa kabisa mkuu, huu ndo ukweli ingawa waliowengi hawaelewi hadi iwatokee puani.

Kuna nyanya zilioza morogoro mwaka jana kwa kukosa soko.
Hii ni dalili ya kutojua consumer atapatikana muda gani.
 
utakuwa unaongelea ajira za serikalini,wapo watu wanakamata mpaka mil 20 kwa mwezi we unaongealea mil 3 kwa miezi 3 ambapo ni wastani wa kama laki 7 na nusu tu,umewahi kumuona mkulima gani anaendesha range rover vogue?njoo mjini huku utazikuta kama nyjugu,kilimo ukitaka labda uwe dalali lakini ukishika jembe we ni masikini tu,ulishaambiwa kilimo ni uti wa mgongo na si vinginevyo
Hahaha kuna watu ukiwaambia ukweli wanavimba wanataka kusifiwa wakati uhalisia wa kilimo chetu uko ivo, tunalima kupata chakula.
 
Umwagiliaji si lazima iwe drip kama ulikalilishwa, kuna furrow mkuu pia inatumika.

Najua historia ya kilimo na mafanikio yake kwa hizo nchi huijui ila ubishi tu umekujaa.
Kwenye mashamba makubwa ya Urusi na baadhi ya majimbo ya USA ukiisha msimu wa kilimo huwa ni msimu wa baridi kali tofauti na kwetu huku ambako huwa ni joto kali na ukame, kule wao waga wanatunza msosi kwa ajili ya mifugo yao tofauti na kwetu na baadhi ya mazao tu kama ngano ndo huimili kipindi hiki lakini mahindi, zao kuu la USA hulimwa kipindi chenye mvua hicho cha kutunza maji ya mvua ni kwenye baadhi ya majimbo mfano Carlifonia ambako hakulimwi mahindi.
 
Hahaha kuna watu ukiwaambia ukweli wanavimba wanataka kusifiwa wakati uhalisia wa kilimo chetu uko ivo, tunalima kupata chakula.
Bwana dab hapa umechangia vyema ni kweli bongo hatulimi kibiashara kabisa na hii kujisifu huku unaonesha jisi gani tulivyo mafukara
 
Ardhi inakodishwa mkuu nenda hata Uyole mjini utakodisha mashamba ya viazi na kabeji uporoto au kawetere bei chee, after all mashamba sehemu nyingi ni ya kukodisha mkuu,usiogope
Mkuu, hibi kwa maeno ya uyole ba ule ukanda wanaolima viazi mviringo kama unaenda tukuyu , bei za mashamba ya kukodi zinarange vipi /hekari?
Kama wajua
 
Hahaha kuna watu ukiwaambia ukweli wanavimba wanataka kusifiwa wakati uhalisia wa kilimo chetu uko ivo, tunalima kupata chakula.
ukweli ndo huo,kilimo kinamlipa dalali lakini sio mshika jembe,watu tulishajaribu huko ufuta,mahindi tikiti lakini waaap,anayeongeaongea kuhusu kilimo hapa haelewi anachozungumza
 
Mkuu, hibi kwa maeno ya uyole ba ule ukanda wanaolima viazi mviringo kama unaenda tukuyu , bei za mashamba ya kukodi zinarange vipi /hekari?
Kama wajua
Inategemea mkuu mashamba yaliyo barabarani bei ya pango iko juu kidogo ukilinganisha na mashamba ya ndanindani mbali kidogo na barabara but kule Ntangano na Uporoto juu bei inarange Laki hadi Laki Mbili kwa Mwaka
 
Acheni ubahili kenge nyinyi kilo moja kitu gani kwa watu wawili tena wanaofanya kazi ngumu

sasa ''ukenge'' wetu unakuja vipi hapa mkuu?? it was just a joke mi mwenyewe kila moja ya unga nakula milo miwili na nusu..

TIP:
i think your a great thinker in here so learn to avoid the use of abusive language.
Gracia
 
its ok if it was a joke am sorry man, kawaida huwa sipendi kuona watu wanavyowanyonya manual laborers ujira mdogo sasa hata chakula jamani napo mnawabania
 
Napenda sanaa kuwekeza katka kilimo....nmeshajaribu kulima matikiti mara mbili nikakosa......nataka nijaribu kwingne
 
Acheni ubahili kenge nyinyi kilo moja kitu gani kwa watu wawili tena wanaofanya kazi ngumu

Mkuu inaonekana hufamu unalolizungumza. Labda ungekuwa mkulima ungejua nasema nini. Kumbuka mkulima anakutana na gharama kubwa katika pembejeo nk ila sokoni analaliwa sana na inaonekana kama hakuna suluhisho la hili. Sasa iwapo vijana wawili watakula kilo moja ya unga kwa mlo mmoja, huoni watakuwa wanazidisha gharama ya uzalishaji ambayo soko sio rafiki hivyo?
 
Sasa mkuu nn kifanyike? Wasipo shiba sasa watafanyaje kazi?
 
Kujifanya mnajua research sana ndo kunawafanya muwe maskini. Watu wanaongelea ushuhuda bado unataka afanye research tena theoretically??? Ili approve nini wakati tayari ameshafaya pratically??

Tatizo letu vijana tunakuwa sio risk takers! Na lazima tujue the mkre risk you take the more reward you are likely to get!

Sasa mkikutana na waoga kama jawa wanaoogopa kuthubutu na mkawasikiliza mtajikuta mnazeeka maskini na sio katika kulima tu, katika kila biashara watu wa namna hii wapo. Mtu anakwambia mimi nina boda boda yangu na napiga hela kiasi flan kwa mwezi, badalaya kumuuliza unafanye upate hela kama hiyo unaanza kumwambia pikipiki nikinunua itapata ajali! Hawa watu wa type hii ni wa kupuuzwa kabisa!

Mimi nawahakikishia hela ipo kwenye kilimo na ni uhakika sana. Ukichemka msimu wa kwanza msimu ujao unatusua. Cha msingi ni kuwauliza wanaofanikiwa wanapitia njia zipi na sio kuwaambia ukilima mazao yatakauka mvuahaitanyesha.

Achamaneno andaa shamba alafu uvune tuone yakikosa soko sasa!

Kuuliza sio vibaya. Kuna watu mimi nafahamu wamelima na wamepoteza hela au kurudisha walichowekeza tu!
 
Back
Top Bottom