M mareb New Member Joined Feb 8, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Nov 22, 2013 #1 Naombeni ushauri jamani mbolea gani ni nzuri kwenye matango na viazi mviringo ili kupata mazao mengi?
Naombeni ushauri jamani mbolea gani ni nzuri kwenye matango na viazi mviringo ili kupata mazao mengi?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Nov 22, 2013 #2 Tumia NPK kwa mbolea ya viwandani au kama unatumia organic mbolea ya KUKU au KITIMOTO ni bora sana kwa kuwa ina high content ya hydrogen
Tumia NPK kwa mbolea ya viwandani au kama unatumia organic mbolea ya KUKU au KITIMOTO ni bora sana kwa kuwa ina high content ya hydrogen