Kilinge cha DJ sepetu!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Kilinge cha dj sepetu kitakujia kila wiki mara mbili! Wiki hii kilicho trend zaidi katika social networks kibao bongo ni kuhusiana na mahusiano ya master Wa bongo movie;Ray na chuchuuu hanz!


Unajua nini kime happen!
Ni kuwa inaonekana Kila mtu yupo kivyake na maisha yake!

Kwa mujibu Wa shilawadu ni kuwa ray ndo ana mamlaka zaidi kuhusu mtoto!chuchu amemuachia kila kitu ray kuhusu dogo!

Je wajua kuwa mamake chuchu ni mzungu!
Ndo hivyo!

Kasheshe ya Leo!
Mvua zazua kasheshe
Sikia hii
Baba:haloo mke wangu ,yaani ni shida sitaweza kurudi nyumbani daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi Dar haiwezekani.

Mama:mume wangu morogoro bila kuniaga!?

Baba:ilikuwa ghafla sana mke wangu sikuweza kukuambia

Mama:kha! sasa watoto nani atawaangalia!

Baba:unasemaje we uko wapi kwani!

Mama:Niko bagamoyo na daraja limeondolewa na maji sitaweza kurudi!

Baba:unasemaje we mwanamke!! Nasema nikukute nyumbani ndani ya dakika 15!

Baada ya dakika 15 nyumbani

Mama:haya umefikaje kutoka morogoro

Baba:nimepewa lift na helicopter ya mbowe!
 

Attachments

  • IMG_20180310_132118_443.jpg
    12.8 KB · Views: 15
Hali ilivyo inavyoonekana bado johari ana feel love ya msela!
 
Ingawa johari amelikanusha hilo vikali
 
Kuna tetesi kuwa johari alizimia Mara kadhaa baada ya kupata story kuwa chuchu ana expect
 
Chuchu alidai kuwa hawezi ishi na Ray kama mke na mume hadi pale kigosi atakapo kamilisha taratibu za ndoa ikiwa pamoja na kusilimu!
 
Isitoshe chuchu amekana kuchangia makopo na Ray

Kwamba ray hajikwatui ila anakunywa maji mengi na kufanya mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…