Kilinge cha DJ sepetu!

Nitakuwa nakuletea story usome hapa
 
Inasemekana jaden anaongoza kwa kusifiwa uhandsome mitandaoni kwa watoto Wa mastaa
 
Kichekesho:
Asilimia 78 ya wasichana kila ukimtongoza atakwambia"am in relationship "sawa HATUKATAI...

98% ya wanaume wapo single
Hapa ndipo hesabu zangu zinagoma hawa wadada wapo in relationship na nani!?

Ama majini!!!!
 
Machizi hawa!
Ndege ilikuwa inapita juu
Chiz 1:ndege ile imembeba rais

Chiz2:hapana ile imebeba wazungu

Chiz1:kwanini!?

Chiz2:ingembeba rais kungekuwa na pikipiki mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…