Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Tunaoamini Kwenye imani ya dini tunajua namna kilio Cha wanawake pale wanapodai haki kinavyoleta laana Kwenye familia. Haiwekani wale wakina Mama wakatoa machozi Yakapita bila kuleta madhara.
Ni maoni yangu tuombe toba hasa viongozi ambao machozi yalielekezwa kwako la sivyo tunakwenda kuondokewa na viongozi wetu kwa wao kukosa maarifa. Kilio kile kwa mtu Mwenye haki usikika na majibu utoka kwa haraka Sana.
Watoto mnaowapenda wazazi wenu msifurahie tu kuwaona Kwenye luninga wakijinasibu, msifurahie kuona mashangingi nyumbani Bali tumieni mbinu kuwaombea wazazi wenu maisha marefu maana msipowaombea toba mtawapoteza. Tumesema kiimani kwa kuwa tunaona namna viongozi walivyopigwa upofu. Mlilieni Mungu alainishe miyoyo ya wazazi wenu waachane na kibiri Cha maisha.
Viongozi mtakufa msipotubu, watoto mnakwenda kubaki yatima msipowaombea wazazi wenu toba nakuwaasa kusimamia haki.