Kilio cha Fatuma Karume

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Sir100 Hafanani na anachofanya kuna genge linamwingiza chaka ili afeli.wanawake mara nyng ni wagumu kusoma alama za nyakati.SAMIA NAKUSHAURI NAJUA UNAINGIA HUKU FUATA USHAURI WA EMANUEL NCHIMBI,aliponya majeraha ya wananch na waathirika kwa hotuba nzuri,ikifika weng wakamwita rais mtarajiwa.NAMI NASEMA KWA HILI LINALOENDELEA MNCHIMBI ANAFAA KUWA RAIS AJAYE 2025 ILI KUPONYA MIOYO YA WATU WALIOKOSA TUMAINI LA AMANI.
 
Fatma ni mnafiki kama wengine tu babu yake na baba yake wote waliendesha serikali kwa mkono wa chuma mbona hakiri hadharani!
 
Akiingia huyo Nchimbi atakuwa hivihivi. Ccm sio chama cha kizazi hiki, hivyo kinapata tabu kukabiliana na ukweli.
 
Kama ameshindwa kung'amua au kutengua huo mtego, she should take all the blame.

Yaani hadi wewe ngumbaru usiyekuwa na intelijensia umejua hivi, yeye hajui? Hebu tuacheni utani bhana.

Tujifunzeni kuwajibika.

NB: Acha kuwachonganisa Samia na Nchimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ