Kilio cha Fatuma Karume

Kilio cha Fatuma Karume

Kama ameshindwa kung'amua au kutengua huo mtego, she should take all the blame.

Yaani hadi wewe ngumbaru usiyekuwa na intelijensia umejua hivi, yeye hajui? Hebu tuacheni utani bhana.

Tujifunzeni kuwajibika.

NB: Acha kuwachonganisa Samia na Nchimbi
MM ni gumbaru ila sikio la kufa haisikii dawa.KILA MTU ALIELEWA HATA MAGUMBARU WALIELEWA NCHIMBI ALIPONYA TAIFA
 
😂 😂 😂 😂 Nafurahia sana nikiona yale mataahira yaliyokuwa yanamsifia huyu mama eti ili kumkomoa Magufuli yakuwa yanqteseka.

Na bado
 
Akiingia huyo Nchimbi atakuwa hivihivi. Ccm sio chama cha kizazi hiki, hivyo kinapata tabu kukabiliana na ukweli.
Shida siyo CCM shida ni hao nyumbu. Wanadekadeka kama mwanamke anayetongozwa.
Wakiswa kidogo tu ......NABAAKWAAAAA!!!...kumbe si kweli
 
Wee kapuku unawezaje kumwambia Fatuma apambane na hali yake? Fatuma angechagua kuimba mapambio ya kusifu angekuwa waziri au balozi. Unawezaje kujiringanisha na mjukuu wa Rais lakini pia Mtoto wa Rais? Unadhani familia ya Samia au Mwinyi hata kama wanaondoka madarakani kuna hali yoyote wanapambana nayo kama wewe no....
Fatuma ni mwehu tu,

Si ndio huyu alikuwa anatukana watu wakimpinga Samia?
 
Fatuma ni mwehu tu,

Si ndio huyu alikuwa anatukana watu wakimpinga Samia?
Of-course nakubaliana na wewe lakini bado huwezi ukasema anapambana na hali yake. Watawala wa TZ kuanzia marais na mawaziri, ukiacha utawala wa Nyerere wote familia zao mpaka wajukuu hawana shida. Hujaona mtoto wa Mwigulu ambaya hata bado hajajua ni nini maana ya uongozi na kipato anaenda kutoa zawadi za smart phone kwa akina baba wenye familia zao na anapigiwa makofi.
 
Tunajuta kumfahamu
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom