Shida sio Shirika, wanasiasa ndio tatizo hata ukiligawa wafanyakazi watakuwa watanzania walewale wanaongozwa na CCM.Narudia kusema tena, kuna haja ya kulivunja shirika na kuform mashirika mawili; shirika moja litadeal na masuala ya uzalishaji umeme...
Ndugu mpendwa Mteja wetuKila Mahali wananchi wanaendelea kulia bila Msaada wa viongozi kuhusu kukoswa huduma ya Tanesco kama.
1) kukoswa huduma ya surveyor
2) zaidi ya wananchi 210,000/=walio lipia huduma ya kuunganishiwa umeme , Hawajaunganishiwa kwa sababu ya upungufu wa meter,nyaya na watu wakuunganisha umeme.
3) Matatizo ya Luku.
4) Umeme Kukatika.
Hali Hii inakua kwa kasi sana Huku viongozi wa nchi wako kimya.
Je, hili tatizo litaisha lini?
Asantee Mkuu!! Sisi wananchi wa mkundi CCT Morogoro, tunaomba mtuwekeee umeme jamanii!! Na sisi tunatamani kuangalia TV na kunywa maji ya baridi. Mwaka jana mliweka kisehemu kidogo mkasema kabla ya mwezi wa 9 mwaka jana hiyo hiyo mngemalizia kote, lakini hadi leo tuko gizaniii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Tuhurumieni watanzania wenzenu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tafadhali tuonesha ni Wilaya gani? Namba ya simu tafadhaliAsantee Mkuu!! Sisi wananchi wa mkundi CCT Morogoro, tunaomba mtuwekeee umeme jamanii!! Na sisi tunatamani kuangalia TV na kunywa maji ya baridi. Mwaka jana mliweka kisehemu kidogo mkasema kabla ya mwezi wa 9 mwaka jana hiyo hiyo mngemalizia kote, lakini hadi leo tuko gizaniii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Tuhurumieni watanzania wenzenu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ni Morogoro manispaa na mkoa wa Morogoro!!Tafadhali tuonesha ni Wilaya gani? Namba ya simu tafadhali
Ndugu mpendwa Mteja wetuShirika hili binafsi natamani libinafsishwe iwe kama ilivyo kwa makampuni ya simu...yaani nimehangaika yapata miaka minne ili niweze kupata umeme kwenye eneo langu lakini mpaka sasa sijapata... TANESCO TANESCO TANESCO..Sina hamu kabisa...
Tafadhali weka taarifa kamili tufatilie tatizo lako na kama linawezekana litatuliwe leo hiiShirika hili binafsi natamani libinafsishwe iwe kama ilivyo kwa makampuni ya simu...yaani nimehangaika yapata miaka minne ili niweze kupata umeme kwenye eneo langu lakini mpaka sasa sijapata... TANESCO TANESCO TANESCO..Sina hamu kabisa...
Sina Imani na utatuzi wa mitandao.Tafadhali weka taarifa kamili tufatilie tatizo lako na kama linawezekana litatuliwe leo hii