KERO Kilio cha maji bado kinaendelea mtaa wa kanindo kata ya Kishiri -Nyamagana Mwanza

KERO Kilio cha maji bado kinaendelea mtaa wa kanindo kata ya Kishiri -Nyamagana Mwanza

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Status
Not open for further replies.
A

Anonymous

Guest
Japo kila kukicha wananchi wa mtaa wa kanindo wanapambana kutatua changamoto ya maji ila mambo bado na hatima yao bado ni kizunguzungu.

Licha ya kufatilia katika ofisi ya serikali ya mtaa na kata bado hakuna mafanikio yoyote. imefika hatua wananchi wameamua kujitolea kuchangashana pesa ilinwasogezewe hudama ya maji ila pia hakuna majibu rasmi.. majibu kutoka ofisi za serikali wanajibu kuweni na subra maji yatakuja tu mda ukifika.. je ni lini huduma ya maji itafika..?

Tunaomba msaa kwa Waziri Maji Mhe. Jumaa H. Aweso. kupitia ofisi yako tunaomba msaa wako... Wananchi wanatumia maji chafu kunywa, kupikia, Kuoga na mengine mengi mahitaji ya maji. Na sio Kwamba maji ya mbali hapana.. tunaomba msaada.

Hivi ni vyanzo baadhi vya kutegemewa kwa matumizi ya maji. Na ingekua bora zaid kwetu kama maji tunatehemea yengekua si kuchuruzika na kutojua yanapotokea na nini yana kupambana nayo njiani. (Kisima)

Screenshot_20250222-131340_Gallery.jpg
Screenshot_20250222-131455_Video Player.jpg
Screenshot_20250222-131308_Gallery.jpg
Screenshot_20250222-131323_Gallery.jpg
Screenshot_20250222-131542_Gallery.jpg
Screenshot_20250222-131413_Gallery.jpg
Screenshot_20250222-131521_Gallery.jpg
Screenshot_20250222-131255_Gallery.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom