PastorA
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 361
- 275
Habari zenu ndugu zangu Watanzania,
Jana nilibahatika kutazama kipindi kinaitwa Shilawadu, na mwishoni yule mtangazaji akasoma makala iliyoandikwa na Wastara, waraka ule unatia huruma sana na ndani yake unaonyesha kusalitiwa na kutelekezwa mbali na wasanii wenzie wa Bongo movies.
Inaonyesha huyo dada alifiwa na mumewe Sajuki muigizaji, alafu na yeye kwa sasa anaumwa sana na anahitaji msaada kiasi cha kumuangukia Mh. Rais na Makamu wa Rais Mama Samia asipate msaada. Jambo lilinisikitisha ni kukosa msaada kutoka kwa hawa Bongo movies wenzake.
Je? Hakuna chama chao, viongozi wao ambao wanawafuatilia wenzao?
Wasanii wa Bongo Movies amkeni hii Tanzania nyie ndio wasanii na hiyo industry inawahusu ninyi.
NB: Naomba mwenye mawasiliano ya Wastara anipatie hapa. Pia kama kuna mtu wa karibu amshauri Wastara apate msaada wa kiroho pia Mara nyingi kwa matatizo ya watu husababishwa na mapepo.