bologna
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 1,489
- 1,426
Huyu dada haumwi serious wala nn. Sema shida yake kubwa kachoka anahitaji hela alizoingia mkataba na wachina wa simu alipwe sababu anaona kaibiwa. Sasa ili kujenga hoja akaona ajazie na mada ya kuumwa ili aweke mkazo. Muhimbili kwa ugonjwa anaoumwa tiba imeshapatikana. Operation aliyofanyiwa inamuhitaji alale masaa maalum aliyopewa na Dr. Sasa yy akitaka kudanga ajue lazima mgongo umuume tu,