Kilio cha msanii Wastara: Bongo movie mnatia aibu

Bongo wanachojaliana "HAPPY BIRTHDAY"

Utaona "Happy birthday wastara84 MUNGU akujalie hitaji lako mwaya mwaaaaaahhhh!!"

Halafu hao wanaingia mitini .

Halafu huyu dada mi huwa simsomi unajua aliolewa na yule jamaa wa Ccm wenye wese la maaana sijui akaanza mambo ya kishirikina na wakatibua vipi .

Anyway kama bidamu mwezie namwombea kwa MUNGU tu ampone yanayomsibu.Amina.
 
Vipo ile papuchi yake haina soko tena!??,hapo tunapata somo papuchi si uchumi na tutizame maisha ya mbeleni
 
Wakati akiwa mzima aponde raha weeeeee ajisahau halafu wakati wa shida tulie wote huu ujinga ufike mwisho
Yaani simpi hata jero,sikuwahi msikia alipokuwa na pesa akijali masikini,wajane au wagonjwa ilikuwa yeye na starehe leo yamemshinda anataka tumsaidie!!! Sh***@$-!,*/== zake
 
Abake watoto afungwe maisha akitoka kwa msamaha ataitwa ikulu na waziri wa michezo atamjengea nyumba
Ushauri mzuri sana,aliponda miraha peke yake leo taabu ndo tunashirikishana!//≠=!"'= !@@@[emoji201]zake
 
Mkumbuke Mungu wakati wa Ujana wako........
Umenikumbusha wimbo wa AICT- Magomeni., kweli mkuu tusijisahau kwa kweli maana si kwa kejeli hizi kwa mgonjwa.
 
Pole sana dada ...ila hata ukichangiwa umrudie muumba wako starehe hazina mwisho na punguza skendo zinakuharibia jina kama ile uliyofumaniwa na tomboy wako...
 
Anayemkumbuka Mungu wakati wa maisha mazuri hawezi kuaibika kamwe.

Wastara amepitia raha nyingi mno na shida na matatizo pia.
Lakini anajisahau mno anapokuwa kwenye boom lake.

Hawajifunzi hata kidogo, shida zao hawazichukulii kama changamoto.

Happy birthday kwao ni zaidi ya sherehe. Wanaalikana na kuponda pesa kana kwamba wamezaliwa B.O.T!!!!

Inasikitisha sana, sasa tazama yanayomsibu leo.

Mwisho mtasikia na yeye yamemkuta kama ya Jini Kabula.

Mungu amfungue akili za kiroho na apate msaada. Maana sidhani kama wanadamu tunaweza kumsaidia.
 
anataka dola 18000 ambazo zingetosha kuwanunulia vitanda hata wagonjwa 200 ,,,wanaolala chini HOSPITALINI,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…