Kilio cha mtu mzima

Kilio cha mtu mzima

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
2,097
Reaction score
1,457
Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba.

Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea!

Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance Iko vizuri!

Story Iko hivi! Tulitishiana na mdada baada ya kuona mienendo yake sio mizuri! Yeye aliniambia ataniachia ka kukojolea tu!

Baada ya hii changamoto nilimfuata nikamwambia akujibu kitu! Na sasa Yuko mbali mawasiliano tulipotezana!

Mwenye kujua Mbili Tatu , jinsi ya kutatua hii Shida, najua wapo waliowahi kukutana na hii changamoto
 
Wahi haraka sana uchawi huo huwa wa hatua kinachofuata hamu wanazihamishia upande wa pili
 
Huyo demu atakuwa ni wa mikoa hii bila shaka
1.Tanga(handendi)
2.kondoa
3.kigoma
 
Back
Top Bottom