chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
Nipo serious, nipe nitashukru sanaUko serious kweli tukupe namba ya mtalamu au umeandika tu?
Kwa njia ipi ndugu,nikupate jeHahahah mkuu tuwasiliane nikusaidie.
Weka namba za mtaalamu,Uko serious kweli tukupe namba ya mtalamu au umeandika tu?
Inatia uchungu sana, muombe msamaha akiachieYeye aliniambia ataniachia ka kukojolea tu!
Kinasimama, ukifanya dakka 1 haiishi umemaliza, alafu hamu inapotea, hamu inapotea kabisaYaani kimesinyaa kwa maana hakisimami
Au kinasinyaa unapokitumia kwa mwanamke mwingine?
Sasa ulivoandika sio japo umepungua ukali wa neno..Kinasimama, ukifanya dakka 1 haiishi umemaliza, alafu hamu inapotea, hamu inapotea kabisa
Wahi wapi, nipe maelekezoWahi haraka sana uchawi huo huwa wa hatua kinachofuata hamu wanazihamishia upande wa pili
Kinasimama, unafanya sekunde kadhaa unamaliza, hamu inapoteaSasa ulivoandika sio japo umepungua ukali wa neno..
Kifupi ni kuwa huna nguvu si ndio?
Kama ni hivo tu unasaidika Kama unauhakika ni huyo amekukomesha nasio madhara ya punyeto...Kinasimama, unafanya sekunde kadhaa unamaliza, hamu inapotea
Nipe maelekezo, nini nifanyejeKama ni hivo tu unasaidika Kama unauhakika ni huyo amekukomesha nasio madhara ya punyeto...
Karibu.