Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Mwijaku ametoa kilio chake kuhusiana na kodi ambapo amedai yeye kama influencer anaingiza Milioni 3 kwa siku lakini hajapata utaratibu wa kulipa kodi. hivyo amemuomba Rais Samia kuwapatia utaratibu wa kulipa kodi kutokana na shughuli anazofanya.
Mwijaku amenukuliwa akisema
"Kwa siku ninaingiza Milioni 3. Sisi ma Influencer tunaingiza pesa sana, ninamuandikia Rais Samia nimuombe tuanze kulipa kodi. Kila siku ninamuomba Mh Mwigulu Nchemba ninampigia simu ninamuomba atupe utaratibu wa sisi ma influencer tuanze kulipa kodi"