Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Waache kutia hofu waamuzu.Kesho mechi ya simba na jkt refa atachezesha akiwa na hofu sana si ajabu simba wakapewa penati isio penat ilimradi tu asipate lawama.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mecgi ya Azam ilikuwa ya kawaida ru kiamuzi.
Offside ya Mickson ilishachambuliwa na kuonekana Kibu aliotea.
Mechi ngapi Simba walinufaika kwa maamuzi tata ya waamuzi?
Waache ujinga