Kilio cha Simba chasikika. Kayoko kuwekwa kikaangoni

Kesho mechi ya simba na jkt refa atachezesha akiwa na hofu sana si ajabu simba wakapewa penati isio penat ilimradi tu asipate lawama.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Waache kutia hofu waamuzu.

Mecgi ya Azam ilikuwa ya kawaida ru kiamuzi.
Offside ya Mickson ilishachambuliwa na kuonekana Kibu aliotea.

Mechi ngapi Simba walinufaika kwa maamuzi tata ya waamuzi?

Waache ujinga
 
Kabla ya hiyo game, Azam na Simba walishakutana mara 5 Azam akishinda 3 na Simba 1 draw 1,
Inashangaza namna vile Simba wanalalamika
 
Mnalazimisha Kayoko aonekane ana tatizo Mechi na Azam lakini mkiulizwa tukio alilokosea hamsemi.
Ata mimi sioni kama kuna mahali alikosea hadi yawe makelele.Tulifungwa goli halali nasisi tulifunga goli halali.mechi ilibalance kwa timu zote.Pale ndipo uwezo wa simba ulipoishia tunatafuta tu lawama wakati azam wangekua serious vyakutosha wangetukanda ata goli 3 kwasababu walipata nafasi nyingi za wazi zaidi kuliko za simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.Ila unaweza tu kuchomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…