Kilio changu ni kitambi

Kilio changu ni kitambi

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
😭😭😭
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.

Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.

😭😭
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaah😭😭😭😭
 
Na hapo ndio tutajua unaupendo wa kweli au ni genye ndio zilikufanya uoe dada wa watu.
 
😭😭😭
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.

Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.

😭😭
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaah😭😭😭😭
Piga chini kenge hiyo, anaongezekaje Tumbo badala ya Tako
 
Mkuu unene kuzidi kupita kiasi inaweza kuwa ni ugonjwa nakushauri mpeleke kwa wataalamu wa afya, kitu kingine jaribu kufanyanae mazoezi gym kwenye zile mashine za kukimbia hata mara tatu kwa wiki, pia nashauri usimruhusu atumie vyakula vya mafuta kwa ushauri zaidi ni vyema ukawaone wataalam wa afya nazani hii itasaidia
 
😭😭😭
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.

Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.

😭😭
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaah😭😭😭😭
1.mazoezi ika yasipitilize
2.anywe majimoto kila asbh weka na malimao 3 najion same kabla yakulalaw
3.mpe game za maana mara kwamara zikiwemo.muinamo chuma.mboga nk
4.ntarudibadae
 
Mkuu unene kuzidi kupita kiasi inaweza kuwa ni ugonjwa nakushauri mpeleke kwa wataalamu wa afya, kitu kingine jaribu kufanyanae mazoezi gym kwenye zile mashine za kukimbia hata mara tatu kwa wiki, pia nashauri usimruhusu atumie vyakula vya mafuta kwa ushauri zaidi ni vyema ukawaone wataalam wa afya nazani hii itasaidia
Hata
Bia
Bangi
Ugoro
Asitumie kabisa vinanenepesha sana hasa kwa wanawake
 
Back
Top Bottom