Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Na hapo ndio tutajua unaupendo wa kweli au ni genye ndio zilikufanya uoe dada wa watu.πππ
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.
Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.
ππ
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaahππππ
Mkate mweupe anatakiwa kuacha kabisa...Lipigishe dayati asubuhi lipe mikate miwili tu usimpe mikate 7
Piga chini kenge hiyo, anaongezekaje Tumbo badala ya Takoπππ
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.
Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.
ππ
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaahππππ
Naunga mkono hojaMkate mweupe anatakiwa kuacha kabisa...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Khaaa!!Mnyime chakula
LipigisheππLipigishe dayati asubuhi lipe mikate miwili tu usimpe mikate 7
1.mazoezi ika yasipitilizeπππ
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.
Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.
ππ
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaahππππ
Jf kuna watuPiga chini kenge hiyo, anaongezekaje Tumbo badala ya Tako
KazinikunawatuJf kuna watu
HataMkuu unene kuzidi kupita kiasi inaweza kuwa ni ugonjwa nakushauri mpeleke kwa wataalamu wa afya, kitu kingine jaribu kufanyanae mazoezi gym kwenye zile mashine za kukimbia hata mara tatu kwa wiki, pia nashauri usimruhusu atumie vyakula vya mafuta kwa ushauri zaidi ni vyema ukawaone wataalam wa afya nazani hii itasaidia