Kilio kwa HELSB kuhusu Kampala university

Kilio kwa HELSB kuhusu Kampala university

tatizo vyuo navyo vinakua kama uyoga! Hv vingne matapel tu vinatumika kama saccos za kupatia mtaj
 
Huku bado ni tarehe tu watu wanapigwa kila sikuu....
Imagen december iz comin na watu hawajapat hata boom la mwanzo
 
Hiyo ki2 c mali ya M7?? C ajab kahamisha hela kusaidia m23. Sory unazungumzia Kampala university au Kampala Int University mana n vyuo viwili tofauti.
 
Hiyo ki2 c mali ya M7?? C ajab kahamisha hela kusaidia m23. Sory unazungumzia Kampala university au Kampala Int University mana n vyuo viwili tofauti.

Kampala international university
 
Mpk sasa asilimia 60 ya wanafunzi wa Kampala international university dar hawajapata boom lao....watu wamewahi kuripoti..wakapeleka account zao mapema lkn ni mizinguo tuu hakuna majibu ya kueleweka...wanachojibu oh tutaweka hawaweki..na ht wakienda bank wanapeleka majina 10-20 na wanafunzi wako 200 first year...kinachooneka ni ujenzi tu wa majengo yao..inavyoonekana ni kwamba hizo hela wanazitumia kwa matumizi binafsi...wanafunzi wamechokaaa..hawana pesa hostel zenyewe wanakaa za nje na ni expensive. .chakula..photocopy....je bodi ya mkopo HELSB inafuatiliaje kuhusu upewaji wa fedha kwa wakt maalum kwa wanafunzi wao...au Wakishaleta hela huwa hawafuatilii....this is too much...Helsb fuatilieni hili tunaomba.....watoto wanatusumbua hela za matumizi..me nishaenda mpk chuo kumuilizia kwann hawawapi hela madogo..sikupewa majibu..eti wasubiri..huu ni wizi
NI MALALAMIKO KUTOKA KWA MDGO WANGU..PLEASE HELSB FUATILIENI PESA ZENU KWA WANAFUNZI wanapewa? ?

kampala ndo chuo gn? njoo sua hakuna ubabaishaji
 
Back
Top Bottom