Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika na kwenye majina yaliyobandikwa jana kwenye ubao wa matangazo (notice board) ya chuo inaonyesha kuwa wanafunzi wote wanaoenda field katika chuo cha MUCCoBS wamepewa pesa za field kasoro kozi ya sheria tu (LL,B) ,sijui tatizo ni ni ni? kama ni upya wa kozi ya sheria(LL,B) mbona watu wa BACHELOR OF ARTS IN BUSINES ECONOMICS(BABEC) Na BACHELOR OF SCIENCE IN BUSINESS INFORMATION COMMUNICATION TECHOLOGY(BSCBICT) mbona wamepewa pesa za field na hizi kozi zilianza pamoja na kozi ya LL,B(SHERIA) Mwaka 2012 ? tatizo lipo wapi? nikaendelea kupeleleza nikaambiwa na chanzo changu kwamba huu ni mpango wa makusudi wa chuo kuwanyima watu wa sheria pesa zao za field ! ! nimeongea na waziri wa mikopo wa serikali ya wanafunzi Wa MUCCoBS (MUCSO) Kaniambia eti majina yetu ya pesa za field hayajaletwa kwa sababu kozi yetu ya sheria ni mpya ,kama ni hivyo mbona watu wa BABEC na BSCIT wamepata na zilianza pamoja na kozi ya SHERIA mwaka 2012 ni uzembe wa chuo cha MUCCoBS