KILIO LL,B!Chuo cha MUCCoBS kimewanyima makusudi pesa za field wa wanafunzi wa SHERIA(LL,B)

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika na kwenye majina yaliyobandikwa jana kwenye ubao wa matangazo (notice board) ya chuo inaonyesha kuwa wanafunzi wote wanaoenda field katika chuo cha MUCCoBS wamepewa pesa za field kasoro kozi ya sheria tu (LL,B) ,sijui tatizo ni ni ni? kama ni upya wa kozi ya sheria(LL,B) mbona watu wa BACHELOR OF ARTS IN BUSINES ECONOMICS(BABEC) Na BACHELOR OF SCIENCE IN BUSINESS INFORMATION COMMUNICATION TECHOLOGY(BSCBICT) mbona wamepewa pesa za field na hizi kozi zilianza pamoja na kozi ya LL,B(SHERIA) Mwaka 2012 ? tatizo lipo wapi? nikaendelea kupeleleza nikaambiwa na chanzo changu kwamba huu ni mpango wa makusudi wa chuo kuwanyima watu wa sheria pesa zao za field ! ! nimeongea na waziri wa mikopo wa serikali ya wanafunzi Wa MUCCoBS (MUCSO) Kaniambia eti majina yetu ya pesa za field hayajaletwa kwa sababu kozi yetu ya sheria ni mpya ,kama ni hivyo mbona watu wa BABEC na BSCIT wamepata na zilianza pamoja na kozi ya SHERIA mwaka 2012 ni uzembe wa chuo cha MUCCoBS
 
Halafu nasikia eti kinataka kujitegemea kutoka chini ya SUA na kua MoCU(MOSHI Cooperative University) hahah chuo cha kata hiki nashukuru nilipata oneform6 nikapata chuo bora MZUMBE UNIVERSITY LAW(LL,B) Poleni sana my learned lawyers of MUCCoBS hilo suala lingetokea MZUMBE UNIVERSITY hatuendi field tunagoma kwenda field!ushauri wangu ni kwamba wanasheria wenzangu gomeni kwenda field mtaishije?
 
Kweli llb imekua yeboyebo sana,yani hadi muccobs nao wanatoa?
 
Habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika na kwenye majina yaliyobandikwa jana kwenye ubao wa matangazo (notice board) ya chuo inaonyesha kuwa wanafunzi wote wanaoenda field katika chuo cha MUCCoBS wamepewa pesa za field kasoro kozi ya sheria tu (LL,B) ,sijui tatizo ni ni ni? kama ni upya wa kozi ya sheria(LL,B) mbona watu wa BACHELOR OF ARTS IN BUSINES ECONOMICS(BABEC) Na BACHELOR OF SCIENCE IN BUSINESS INFORMATION COMMUNICATION TECHOLOGY(BSCBICT) mbona wamepewa pesa za field na hizi kozi zilianza pamoja na kozi ya LL,B(SHERIA) Mwaka 2012 ? tatizo lipo wapi? nikaendelea kupeleleza nikaambiwa na chanzo changu kwamba huu ni mpango wa makusudi wa chuo kuwanyima watu wa sheria pesa zao za field ! ! nimeongea na waziri wa mikopo wa serikali ya wanafunzi Wa MUCCoBS (MUCSO) Kaniambia eti majina yetu ya pesa za field hayajaletwa kwa sababu kozi yetu ya sheria ni mpya ,kama ni hivyo mbona watu wa BABEC na BSCIT wamepata na zilianza pamoja na kozi ya SHERIA mwaka 2012 ni uzembe wa chuo cha MUCCoBS

lakini wewe si unasoma procurement,hayo mambo ya llb yanakuhusu nini?na field si huwa mnaenda mwezi wa 7,sasa iweje pesa mpewe leo?
 
Ingekuwa hapa MZUMBE UNIVERSITY tungemfurusha loan officer na waziri wamikopo
 
hahahahaaa mzee mbona unataka kuupotosha umma??kuanzia lini labda nyie mzumbe mkaleta hata challenge inform ya riot or anything??mmeshindwa kwa kuhoji tuu ni kwanini mmekosa accomodation na mkatupwa nje ya campus na watoto wa cheti wakawazidi kete na kupata accomodation??pili mkopo wenu mnacheleweshewaga kuingiziwa inapita mpaka miezi miwil hamjapata mkopo..swali nani ambaye ameshawahi hata kuinua mdomo wake tuu na kuhoji katika swala nyeti kama hiloo??leo hii ndo pasikalike kisa field??mzumbe ni jumba la waoga na wasio na misimamo
 
Udsm wakigomaga,mnawaona wahuni waliochoka na shule!haya sasa,na nyie mjionee wenyewe maajabu ya heslb.
 
hahahahaaa mzee mbona unataka kuupotosha umma??kuanzia lini labda nyie mzumbe mkaleta hata challenge inform ya riot or anything??mmeshindwa kwa kuhoji tuu ni kwanini mmekosa accomodation na mkatupwa nje ya campus na watoto wa cheti wakawazidi kete na kupata accomodation??pili mkopo wenu mnacheleweshewaga kuingiziwa inapita mpaka miezi miwil hamjapata mkopo..swali nani ambaye ameshawahi hata kuinua mdomo wake tuu na kuhoji katika swala nyeti kama hiloo??leo hii ndo pasikalike kisa field??mzumbe ni jumba la waoga na wasio na misimamo
kwel man mzumbe hawana historia ya kudai haki kuna wkt vyuo vya bublick vyote waligoma tena udom kilikua kimeishia second yr tu walikomaa lakini wakongwe mzumbe km kawa skio la kufa!
 
nimetoka kuwasiliana na waziri wa mikopo anasema ameenda bodi ya mikopo na taarifa aliyopewa ni kwamba LOAN OFFICER wa chuo cha MUCCoBS hakupeleka majina kwa hiyo suala hili litaisha mpaka chuo kifunguliwe
 
Muccobs kiko wapi?
 
lakini wewe si unasoma procurement,hayo mambo ya llb yanakuhusu nini?na field si huwa mnaenda mwezi wa 7,sasa iweje pesa mpewe leo?

huyu angesoma procurement angeshadisko anaogopa hesabu huyo hata iwe rahisi namna gni.
 
Back
Top Bottom