KILIO LL,B!Chuo cha MUCCoBS kimewanyima makusudi pesa za field wa wanafunzi wa SHERIA(LL,B)

KILIO LL,B!Chuo cha MUCCoBS kimewanyima makusudi pesa za field wa wanafunzi wa SHERIA(LL,B)

hahahahaaa mzee mbona unataka kuupotosha umma??kuanzia lini labda nyie mzumbe mkaleta hata challenge inform ya riot or anything??mmeshindwa kwa kuhoji tuu ni kwanini mmekosa accomodation na mkatupwa nje ya campus na watoto wa cheti wakawazidi kete na kupata accomodation??pili mkopo wenu mnacheleweshewaga kuingiziwa inapita mpaka miezi miwil hamjapata mkopo..swali nani ambaye ameshawahi hata kuinua mdomo wake tuu na kuhoji katika swala nyeti kama hiloo??leo hii ndo pasikalike kisa field??mzumbe ni jumba la waoga na wasio na misimamo

ndo tatizo la kusikia tetesi na kutoa jibu kuwa Mzumbe waoga.
 
nimetoka kuwasiliana na waziri wa mikopo anasema ameenda bodi ya mikopo na taarifa aliyopewa ni kwamba LOAN OFFICER wa chuo cha MUCCoBS hakupeleka majina kwa hiyo suala hili litaisha mpaka chuo kifunguliwe

Mbio za Sakafuni......
 
Ingekuwa hapa MZUMBE UNIVERSITY tungemfurusha loan officer na waziri wamikopo

wacha kudanganya watu -- wanafunzi wa mzumbe mlivyo makondoo mlishafanya riot lini??

yani ingekuwa chakula mnagawiwa nyie, kila siku mngekuwa mnalala njaa!
 
come back soon Seneta001..

you left too early my friend!! you left a remarkable change here here at ze jukwaa la elimu!

please ukija, hata kama ukija, ni PM kwa lugha maalum ya kijeshi na kiintelijensia!

otherwise naweza nikakujeruhi! lolz!
 
Last edited by a moderator:
come back soon Seneta001..

you left too early my friend!! you left a remarkable change here here at ze jukwaa la elimu!

please ukija, hata kama ukija, ni PM kwa lugha maalum ya kijeshi na kiintelijensia!

otherwise naweza nikakujeruhi! lolz!


Kafanyajee tenaaaa
 
Last edited by a moderator:
Habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika na kwenye majina yaliyobandikwa jana kwenye ubao wa matangazo (notice board) ya chuo inaonyesha kuwa wanafunzi wote wanaoenda field katika chuo cha MUCCoBS wamepewa pesa za field kasoro kozi ya sheria tu (LL,B) ,sijui tatizo ni ni ni? kama ni upya wa kozi ya sheria(LL,B) mbona watu wa BACHELOR OF ARTS IN BUSINES ECONOMICS(BABEC) Na BACHELOR OF SCIENCE IN BUSINESS INFORMATION COMMUNICATION TECHOLOGY(BSCBICT) mbona wamepewa pesa za field na hizi kozi zilianza pamoja na kozi ya LL,B(SHERIA) Mwaka 2012 ? tatizo lipo wapi? nikaendelea kupeleleza nikaambiwa na chanzo changu kwamba huu ni mpango wa makusudi wa chuo kuwanyima watu wa sheria pesa zao za field ! ! nimeongea na waziri wa mikopo wa serikali ya wanafunzi Wa MUCCoBS (MUCSO) Kaniambia eti majina yetu ya pesa za field hayajaletwa kwa sababu kozi yetu ya sheria ni mpya ,kama ni hivyo mbona watu wa BABEC na BSCIT wamepata na zilianza pamoja na kozi ya SHERIA mwaka 2012 ni uzembe wa chuo cha MUCCoBS

Sasa we na akili timamu kweli unaenda kusoma LL.B MUCOBS,Hauko serious
 
Jamani wa tz naomba mnisaidie kama wazanzibar wameanza vituko vya kuwa taka wabara warudi kwao hapa kuna muungano kweli sasa nasie wa matekwe tuwarudishe kwao hawa wazanzibar wanaofanya biashara za usafiriji.
 
Back
Top Bottom