Mwanza One
Member
- Mar 29, 2011
- 36
- 3
Hebu wadau tuliosoma Kilimanjaro boyz tukumbushane mambo mazuri yaliyofanyika au jambo lililokufurahisha/kukumbuka. Kwa upande wangu namkumbuka sana Baba mchafu, Kichekiche na ile supa market yetu(kwa mwambai). Nawakaribisha wadau tujikumbushe historia