Kilo 3000 za madawa ya kulevya zakamatwa..shikamoo kamishna na bado watasema wametesa sana watu

Kilo 3000 za madawa ya kulevya zakamatwa..shikamoo kamishna na bado watasema wametesa sana watu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hongerasana mh kamishna lyimo kwa kazi nzuri...................

Naangalia itv hapa naona mamlaka yetu wamekamata madawa ya kulevya kg 3000

Kamishna lyimo amesema mtandao waliokamata n mkubwa anafurahi kuona kile walichokitafuta wamekipata

Mh lyimo anasema atapambana na mapapa mpaka huu mtandao uishe kabisa

Wale wanaouziwa kg 50 .100 wanazipata huku tukifanikiwa kukamata hawa wakubwa tutalinda sana vijana wetu

Nnakutakiaakila.La kheri mungu akulinde akuongoze na pale shetani anapotaka kupambana asifanikiwe kabisaa kunaa mitaa kinondon imejaa wala madawa ya kulevya kama vile tuko colombia

Hawa nao ukiwakamata watakupa mengi mh kamishna

Nikutakie mwakaampya mwema
 
Hivi huwa zinaenda wapi baada ya kukamata
Ila hongera kwa waliofanikisha kuwakamata
Hapa ndio pa kuwachagua waliokama na kuwapa kazi kwenye sehemu zilizooza kwa Rushwa ila wawakomeshe na hao

Kweli Boss ndio anaesimamia yote ila wapo watu waliofanikisha haya na hao wanastahili sifa zote
3000kg sio mchezo ila kama wamegeuza sura kudos
 
hamna lolote kukamata madawa ya kulevya ni jambo jingine na mahakama ni jambo jingine itapita tu kimya kimya zimepita ngapi, mfano uliza dawa za kulevya zilizoshikwa kikamboni na wanajeshi. walikuwa wahindi kwenye boti na kilo 1000 kesi yao umeisikia iliishia wapi? waliipeleka mtwara kusikilizwa huko imepotea kimya kimya, mimi naupenda ujinga wa watanzania hupenda kushabikia siku zikikamatwa tu na baada ya siku 4 kasahau wala hajui kesi ilikuwaje walifungwa au waliachiwa hajui ana ngoja skendo nyingine ashabikie tena
 
Hivi huwa zinaenda wapi baada ya kukamata
Ila hongera kwa waliofanikisha kuwakamata
Hapa ndio pa kuwachagua waliokama na kuwapa kazi kwenye sehemu zilizooza kwa Rushwa ila wawakomeshe na hao

Kweli Boss ndio anaesimamia yote ila wapo watu waliofanikisha haya na hao wanastahili sifa zote
3000kg sio mchezo ila kama wamegeuza sura kudos
Mpaka kukamatwa ni kuzungukana baina ya wafanyabiashara.

Aliewauza wenzie anazunguka na kuchukua mzigo kwa bei chee na kuurudisha kwenye circulation.
 
Mpaka kukamatwa ni kuzungukana baina ya wafanyabiashara.

Aliewauza wenzie anazunguka na kuchukua mzigo kwa bei chee na kuurudisha kwenye circulation.
Huo mzigo utakuwa una thamani kubwa sana na inawezekana ni watu wengi wamo humo
Na ni mafia kweli hao na kama wamezungukana basi lazima watamalizana tu wao kwa wao
Waliokamatwa kuna walio nje pia
 
Huo mzigo utakuwa una thamani kubwa sana na inawezekana ni watu wengi wamo humo
Na ni mafia kweli hao na kama wamezungukana basi lazima watamalizana tu wao kwa wao
Waliokamatwa kuna walio nje pia
Mzigo huo ni wa hao wadosi

Na mzigo huo wote usingeuzwa tz

Wote,mwingi ungepelekwa nje ya nchi

Ova
 
Back
Top Bottom