Kilo 3000 za madawa ya kulevya zakamatwa..shikamoo kamishna na bado watasema wametesa sana watu

Usanii tu , hizo biashara za watu miamba duniani humu , vita dhidi ya drugs ni scam
 
Unavyominya drugs kuwa available ndio bei inavyopanda na drug lords wananeemeka zaidi
 
Kukamata Ni Jambo Jingine. Je Ukikamata Bangi ndio Umemaliza Mashamba ya Bangi?

kukamata Hku Kunaonyesha Kuna Tatizo Kubwa sana La Madawa Nchini hada Awamu hii ambapo Watu wameshajitoa Muhanga baada ya Mateso ya Awamu Iliyopita
 
Huyu Lyimo nampa miezi kadhaa tu watamfunga spidigavana siyo muda , wewe mzigo wa Tani tatu ukose uwepo wa vigogo kweli.
 
Mwisho wa press conference hajawataja.hapo ndio na mimi nimeshangaa.
 
Kuna mhanga mmj humu JF anadumbua jukwaa Hamas huko kumbe amefanya wa Tz tuwe madikini ili kumgomboa.....wameuza gas yetu yoote sababu yake eti leo .....anataka kugombea urahisi khaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…