Mkuu Damballa
Member
- Apr 26, 2025
- 65
- 64
EE Bwana ee Nina Kama Sheena ya karatasi ambazo unaweza kutumia Kama recycling kutengeneza tissue paper au matumizi mengine Kwa wanaoitaji muhimu NI kuelewa NI kitu gani ninauza .hizi karatasi sio magazeti na ninazo Kama kilo Mia nne hivi plus.
Kama utakuwa interest NI PM na muhimu zaidi itakuwa vyema Kama upo kanda ya Kati ili iwe rahisi kuuziana.
You are welcome .
Kama utakuwa interest NI PM na muhimu zaidi itakuwa vyema Kama upo kanda ya Kati ili iwe rahisi kuuziana.
You are welcome .