Kilo moja ya Ruby inauzwa TZS billion 657

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Yanapatikana wapi mzehe?
Mororgoro.
Inasemekana Morogoro kuna madini mengi tu ambayo yana thamani kuzidi dhahabu, na yapo juu ardhini ni ya kuokota tu kama mawe. Na hiki ndicho kinachoweza kuwa kimesababisha hii ya sasa ika-slip away. Inaweza kuwa hata iliokotwa na mtoto mdogo halafu yeye akaenda nayo nyumbani akiwa anachezea jiwe linalong'aa, wazazi wakaliona na kumnyang'anya
 
Ruby grm 1 ukiuza hukosi 80mln
Ikiwa grm 2 bei ina double
Thamani ya jiwe ukubwa una matter

Ova
Kwa hii inayoongelewa hapa, gram moja imeuzwa kwa TZS billion 0.63571 approximately equal to million 635.7; yaani mara nane zaidi ya bei uliyoitaja hapa wewe

Unachoongea hapa ni kweli kabisa na bado hapo unakuwa umepigwa vibaya sana
 
Ruby sio kama dhahabu, bei yake inategemea ukubwa wa single piece na uwezo wake wa kupitisha mwanga.
Yani kipande kikubwa cha ruby cha gram kadhaa kina thamani kuliko vipande vidogo vidogo vidogo vya kilo.
Ni ngumu kuwa na specific price ya gemstone. Dhahabu ndio ina bei ya kueleweka maana ikiyeyusha inaungwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…