Asante kwa maelezo Kuntu. Nimeondoka na kitu.Ruby sio kama dhahabu, bei yake inategemea ukubwa wa single piece na uwezo wake wa kupitisha mwanga.
Yani kipande kikubwa cha ruby cha gram kadhaa kina thamani kuliko vipande vidogo vidogo vidogo vya kilo.
Ni ngumu kuwa na specific price ya gemstone. Dhahabu ndio ina bei ya kueleweka maana ikiyeyusha inaungwa tu