Asante kwa maelezo Kuntu. Nimeondoka na kitu.Ruby sio kama dhahabu, bei yake inategemea ukubwa wa single piece na uwezo wake wa kupitisha mwanga.
Yani kipande kikubwa cha ruby cha gram kadhaa kina thamani kuliko vipande vidogo vidogo vidogo vya kilo.
Ni ngumu kuwa na specific price ya gemstone. Dhahabu ndio ina bei ya kueleweka maana ikiyeyusha inaungwa tu
Hii comment itawafanya wana jf wahamie morogoro.Mororgoro.
Inasemekana Morogoro kuna madini mengi tu ambayo yana thamani kuzidi dhahabu, na yapo juu ardhini ni ya kuokota tu kama mawe. Na hiki ndicho kinachoweza kuwa kimesababisha hii ya sasa ika-slip away. Inaweza kuwa hata iliokotwa na mtoto mdogo halafu yeye akaenda nayo nyumbani akiwa anachezea jiwe linalong'aa, wazazi wakaliona na kumnyang'anya
Kilo moja ya rubby inauzwa TZS billion 657
CONVERSION OF CARAT TO GRAMS
1 carat = 0.20 grams
Therefore 8400 carats -=420 grams= 0.42 kg
Hii rubby haifiki hata nusu kilo, lakini bei yake ni billion 276. Kwa hiyo kilo moja ya rubby inauzwa billion 657
Source: Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje
Du! alikwambia nani iyo bei ndugu.maana yake gram moja ni zaid ya milioni 600.kila mtu angekimbia kwenda kuchimba Rubby kama bei ingekuwa iyo