Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwa maandamano ambayo wananchi wamejaribu lakini na JWTZ tulitegema kutusaidia ni kama nalo limekuwa la wanasiasa.
Kwa haya yaliyotokea umwagaji wa damu kwa raia. Sasa ni wakataki mgumu ambao wananchama wa CCM, chawa na mafisadi watapitia wakati mgumu ambao polisi watashindwa kueleza na kuficha.
Kinachoelekea sasa ni kumaliza kimya kimya ndio mtindo unaotumika sasa.