Tupo na tutaonaKwa maandamano ambayo wananchi wamejaribu lakini na JWTZ tulitegema kutusaidia ni kama nalo limekuwa la wanasiasa.
Kwa haya yaliyotokea umwagaji wa damu kwa raia. Sasa ni wakataki mgumu ambao wananchama wa CCM, chawa na mafisadi watapitia wakati mgumu ambao polisi watashindwa kueleza na kuficha.
Kinachoelekea sasa ni kumaliza kimya kimya ndio mtindo unaotumika sasa.
Hiyo ndio demokrasia ya hapo kwenu sio??Kwakweli nisiwe mnafiki.
Mm nimefurah kuona baadhi wasanii waliojinasabi na Siasa wamedhurika kwa namna moja.
Ww ni msanii/mchezaj mpira/mchekeshaji/muigizaji/ au Kiongozi wa Dini.
Baki na talanta yako na usijisanabi na Siasa. Maana kaz yako inawapenz weng ambao hawakufuati kwa kuwa ww uko upande gan wa Siasa. Ila wanakufuata kwasababu wanavutiwa na talanta yako.
Nadhan bado somo hakijatosha.
Kama wako wa kumalizana nao kimya kimya. Hawa ndio wawe wa kwanza.
NB:.
Ww ni mwimbaj. Umealikwa kwenda kuimba mkutano wa CCM. Nenda . Kapige kaz . Pata hela. Rud kwako.
Masuala ya kupiga kampen kwenye mitandao yako ya kijamii sio sawa.
Be neutral.
Hiyo ndio demokrasia ya hapo kwenu sio??
Kwahiyo ukiwa msanii hupaswi kumnadi kiongozi umpendae??
Acha wasanii na watu mashuhuri wafanye kile wao wanaona ni sawa.
Wewe kama umefata talanta yake, fatilia talanta yake mambo ya siasa achana nayo.
Polisisiemu wanapita nyumba kwa nyumba na kuachukua vijana na kwenda kuwaua ,inabidi ICC ujulishwa kwa uharaka otherwise watabaki wanawake tu maana wanaume wanauliwa ovyo ovyo.Kwa maandamano ambayo wananchi wamejaribu lakini na JWTZ tulitegema kutusaidia ni kama nalo limekuwa la wanasiasa.
Kwa haya yaliyotokea umwagaji wa damu kwa raia. Sasa ni wakataki mgumu ambao wananchama wa CCM, chawa na mafisadi watapitia wakati mgumu ambao polisi watashindwa kueleza na kuficha.
Kinachoelekea sasa ni kumaliza kimya kimya ndio mtindo unaotumika sasa.
NA aliyekuwa anawajaza ujinga na kuwahakikishia kabisa kako Marekani na hakaji kushiriki na mtu anamwamini aiseee nimeamini kwa nini Tanzania ukifungua kanisa lazima uwe tajiriwatu walijazwa ujinga sana eti jeshi lipo upande wao, kumbe walikuwa wanategwa kutolewa kafara, Inasikitisha sana
kwani n i wangapi si wawili tu Shihi na Billnass?Kwakweli nisiwe mnafiki.
Mm nimefurah kuona baadhi wasanii waliojinasabi na Siasa wamedhurika kwa namna moja.
Ww ni msanii/mchezaj mpira/mchekeshaji/muigizaji/ au Kiongozi wa Dini.
Baki na talanta yako na usijisanabi na Siasa. Maana kaz yako inawapenz weng ambao hawakufuati kwa kuwa ww uko upande gan wa Siasa. Ila wanakufuata kwasababu wanavutiwa na talanta yako.
Nadhan bado somo hakijatosha.
Kama wako wa kumalizana nao kimya kimya. Hawa ndio wawe wa kwanza.
NB:.
Ww ni mwimbaj. Umealikwa kwenda kuimba mkutano wa CCM. Nenda . Kapige kaz . Pata hela. Rud kwako.
Masuala ya kupiga kampen kwenye mitandao yako ya kijamii sio sawa.
Be neutral.
Na hujajiuliza Kwa nini Tanzania ukiwa tu mwanasiasa lazima uwe tajiri ??NA aliyekuwa anawajaza ujinga na kuwahakikishia kabisa kako Marekani na hakaji kushiriki na mtu anamwamini aiseee nimeamini kwa nini Tanzania ukifungua kanisa lazima uwe tajiri
Code imenipiga!Nlipewa Taarifa mjumbe wa wajumbe, mjumbe wangu na Mwenyekiti wamepasua Nyika kiulalo ulalo.
Wao huyo ndo wamempenda, sasa unawapangia wampende nani??Unafanyaje ili uachane na Siasa? Yani umshabikie mtu ambae upande aliopo unaweza tengeneza sheria ya kusema ukikosa upigwe risasi sio kupelekwa mahakamani?