Kilolo: Mwenyekiti wa Kijiji ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuchukua rushwa

Kilolo: Mwenyekiti wa Kijiji ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuchukua rushwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Jeshi la polisi wilayani Kilolo, mkoani Iringa linamshikilia mwenyekiti wa Kijiji cha Mtandika kwa mahojiano zaidi kuhusu tuhuma za kuchukua fedha kwa wafugaji na kusababisha migogoro kati ya kundi hilo na wakulima, huku watu wengine wanaohusika na kugawa ardhi kinyume cha utaratibu nao wakisakwa.

Makunga amekamatwa baada ya mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu wa Kituo cha polisi Wilaya ya Kilolo ambao ulilenga kupata suluhu kwenye kadhia hiyo.

 
Mbona wafugaji wa nchi hii wananyanyaswa na kutengwa sana??? Kila sehemu hawatakiwi, waende wapi??

Basi nawao waingize n'gombe mule hifadhini walikopewa wale wavaa mashuka, maana wao wanafuga bila usumbufu wowote.
 
Back
Top Bottom