Uchaguzi 2020 Kilombero, Morogoro: Daniel Shillah, afukuzwa uanachama wa CHADEMA, Mwenyekiti agomaa asifukuzwe

Uchaguzi 2020 Kilombero, Morogoro: Daniel Shillah, afukuzwa uanachama wa CHADEMA, Mwenyekiti agomaa asifukuzwe

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Salaam Wakuu,

Kama ilivyotabiriwa na wengi imekuwa.

Zaidi soma;

Uchaguzi 2020 - CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya Ubunge

IMG_20200819_200057_781.jpg
IMG_20200819_200101_177.jpg
 
Mbona umeandika kwa mwendo kasi mkuu

Lete habari kamili wengine hata kumfahamu huyu mtu ni shida sie wa kinampanda
 
Be explicit! Weka details za hicho unachokisema.

Edit: Mwenyekiti agoma asifukuzwe ama amekanusha kufukuzwa?!

Mwenyekiti kugoma mwanachama asifukuzwe ni tofauti na kukanusha kufukuzwa kwa uanachama wa mwanachama! Vitu viwili tofauti!
 
Roving Journalist,

Hivi ilitabiriwa na wadau? Anyway, nadhani wasingelimfukuza. Tumekosa busara kidogo. Najua hakuwa na nidhamu inayotarajiwa na mtu anayewania kiti kama hicho, LAKINI Kilombelo sidhani kama CDM itapata kitu maana it seems alikuwa na ushawishi.. I might be wrong! stand to be corrected! All in all nidhamu ni muhimu katika taasisi.
 
Pamoja na madhaifu ya chadema ila kuna masuala wanafanya powa.

Shilla hakushinda kwenye kura za maoni na pia hakuteuliwa na kamati kuu, ila kwa sababu ya ujeuri na kutoheshimu chama aliaamua kwa makusudi kujitangaza na kuhonga baadhi ya watu.

Kwa hili chadema mmefanya powa

IMG_20200819_194805.jpg
 
Kuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.

Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?

Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.
 
Hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya kununua baadhi ya watu na kumpigia debe.

Bottom line, hata kama kweli angekuwa na huo ushawishi lakini alipaswa kuheshimu chama. Lema, sugu, mdee, heche hawa ni wabunge ambao kwa namna yoyote ile hawawezi kukatwa kwenye kamati kuu, lakini hawakuthubutu kuidharau kamati kuu.

Matusi ya shilla kwa kamati kuu yalivuka mpaka
Hivi ilitabiriwa na wadau? Anyway, nadhani wasingelimfukuza. Tumekosa busara kidogo. Najua hakuwa na nidhamu inayotarajiwa na mtu anayewania kiti kama hicho, LAKINI Kilombelo sidhani kama CDM itapata kitu maana it seems alikuwa na ushawishi.. I might be wrong! stand to be corrected! All in all nidhamu ni muhimu katika taasisi
 
Wamemuwahi alikuwa anaenda kuunga juhudi. Shilla wa nyumbani.
 
Hivi ilitabiriwa na wadau? Anyway, nadhani wasingelimfukuza. Tumekosa busara kidogo. Najua hakuwa na nidhamu inayotarajiwa na mtu anayewania kiti kama hicho, LAKINI Kilombelo sidhani kama CDM itapata kitu maana it seems alikuwa na ushawishi.. I might be wrong! stand to be corrected! All in all nidhamu ni muhimu katika taasisi
Ni kweli alikuwa na ushawishi lkn unapokosa nidhamu ktk taasisi inakuwa ni sawa na bure, angeongoza kwenye kura za maoni wangemsamehe lkn hata kura za maoni aliangukia pua na bado akafanya ujanja ujanja akaenda kuchukua fomu bila idhini ya kamati kuu, wamefanya sawa tu kumfukuza.
 
Kuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.

Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?

Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.
Kilombero aliyeshinda kura za maoni unamjua?
 
Kuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.

Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?

Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.
Sio kwamba shillah ndo ana mambo ya hovyo? Unaendaje kuchukua fomu bila idhini ya chama? Jamani
 
Kwa alichofanya naona chadema wamefanya maamuzi sahihi kabisa.

Hata kama ana ushawishi lakini nidhamu kwa chama ni kitu cha kwanza.

Alipaswa kusubiri maamuzi ya kamati kuu, wabunge wote walienda kuchukua form baada ya maamuzi ya kamati kuu.

Hili kosa hakuna mtu wa CCM anayeweza fanya alafu akabaki salama
Ni kweli alikuwa na ushawishi lkn unapokosa nidhamu ktk taasisi inakuwa ni sawa na bure, angeongoza kwenye kura za maoni wangemsamehe lkn hata kura za maoni aliangukia pua na bado akafanya ujanja ujanja akaenda kuchukua fomu bila idhini ya kamati kuu, wamefanya sawa tu kumfukuza
 
Chadema ni taasisi mkuu ukioshuka wenzako wanzako wanapanda! Chadema ina wafuasi kindakindaki ukija na umaarufu wako bila kufuata taratibu utafukuzwa tu!

Back
Top Bottom