Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mgombea aliyepita kura za maoni kateuliwa huo mgogoro uko wapi?Kuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.
Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?
Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.