Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hahahaha Roving Journalist....Salaam Wakuu,
Kama ilivyotabiliwa na wengi imekuwa.
Hivi ilitabiriwa na wadau? Anyway, nadhani wasingelimfukuza. Tumekosa busara kidogo. Najua hakuwa na nidhamu inayotarajiwa na mtu anayewania kiti kama hicho, LAKINI Kilombelo sidhani kama CDM itapata kitu maana it seems alikuwa na ushawishi.. I might be wrong! stand to be corrected! All in all nidhamu ni muhimu katika taasisi
Ni kweli alikuwa na ushawishi lkn unapokosa nidhamu ktk taasisi inakuwa ni sawa na bure, angeongoza kwenye kura za maoni wangemsamehe lkn hata kura za maoni aliangukia pua na bado akafanya ujanja ujanja akaenda kuchukua fomu bila idhini ya kamati kuu, wamefanya sawa tu kumfukuza.Hivi ilitabiriwa na wadau? Anyway, nadhani wasingelimfukuza. Tumekosa busara kidogo. Najua hakuwa na nidhamu inayotarajiwa na mtu anayewania kiti kama hicho, LAKINI Kilombelo sidhani kama CDM itapata kitu maana it seems alikuwa na ushawishi.. I might be wrong! stand to be corrected! All in all nidhamu ni muhimu katika taasisi
Kilombero aliyeshinda kura za maoni unamjua?Kuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.
Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?
Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.
Sio kwamba shillah ndo ana mambo ya hovyo? Unaendaje kuchukua fomu bila idhini ya chama? JamaniKuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.
Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?
Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.
Ni kweli alikuwa na ushawishi lkn unapokosa nidhamu ktk taasisi inakuwa ni sawa na bure, angeongoza kwenye kura za maoni wangemsamehe lkn hata kura za maoni aliangukia pua na bado akafanya ujanja ujanja akaenda kuchukua fomu bila idhini ya kamati kuu, wamefanya sawa tu kumfukuza