Mgombea aliyepita kura za maoni kateuliwa huo mgogoro uko wapi?Kuna mgogoro mkubwa huko. Seems viongozi wa huko wanaona Shillah anawavuruga Lakini pia ni dhahiri Kuna influences za makao makuu ambazo huko ground hawakubaliani nazo.
Hivi vyama vinashida sana, ukijiuliza Shillah amechukua fomu kwa amri ya nani na kupitia utaratibu upi ni kiza kinene. Kama mgombea aliyeshinda kura za maoni katemwa maana yake alipita kwa rushwa? Kwanini katemwa?
Chadema pamoja na yote mna mambo ya hovyo kuliko CCM.
Mkuu yaani chama Kiko sahihi sana, bila hvyo ni kukidharirisha chama.Kwa alichofanya naona chadema wamefanya maamuzi sahihi kabisa.
Hata kama ana ushawishi lakini nidhamu kwa chama ni kitu cha kwanza.
Alipaswa kusubiri maamuzi ya kamati kuu, wabunge wote walienda kuchukua form baada ya maamuzi ya kamati kuu.
Hili kosa hakuna mtu wa CCM anayeweza fanya alafu akabaki salama
Chadema ni taasisi mkuu ukioshuka wenzako wanzako wanapanda! Chadema ina wafuasi kindakindaki ukija na umaarufu wako bila kufuata taratibu utafukuzwa tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anawahi ili uzi wake usiunganishwe
Tena Chama kitaonekana hakina Makali yoyote kwa wanachama wanaochezea Muhimili wake, Hawajui chama kilipotoka wanakuja kudandia njiani halafu wakiuka taratibu.Mkuu yaani chama Kiko sahihi Sana ..bila hvyo ni kukidharirisha chama
Msajili atatambuwa kufukuzwa kwake? Sidhani kama haya anayafanya kwa bahati mbaya.Huyo dogo ni kama anavuta bhangi nawapongeza sana cdm
Pamoja na madhaifu ya chadema ila kuna masuala wanafanya powa.
Shilla hakushinda kwenye kura za maoni na pia hakuteuliwa na kamati kuu, ila kwa sababu ya ujeuri na kutoheshimu chama aliaamua kwa makusudi kujitangaza na kuhonga baadhi ya watu.
Kwa hili chadema mmefanya powaView attachment 1542364
Kilombero aliyeshinda kura za maoni unamjua?
Sio kwamba shillah ndo ana mambo ya hovyo? Unaendaje kuchukua fomu bila idhini ya chama? Jamani
Yule ni mamluki kutoka tawi/kundi la viongozi wa dini a.k.a kundi pendwa la baba mwenye nyumba alieyumba!
Amepewa barua ya uteuzi na viongozi wa chama
Chadema wasipoangalia hili Jimbo CCM watapita bila kupingwa
Wapo manabii wa ukweli na Uongo piaHuyu nabii iweje ashindwe kutabiri kama hatapita
Makao makuu wameteua mtu mwingine hayo makao makuu unayomaanisha wewe ni yapi?What if ni chaguo la makao makuu mtabaki na msimamo wenu? Kwanini viongozi wameshindwa kuchukua hatua mapema? Mtu kapewa hadi barua ya uteuzi! Kama kuna uhuni unahitaji siku ngapi kutengeua huo uhuni?