Uchaguzi 2020 Kilombero Ubunge tunakwenda na Asenga, Lijualikali tupa kule

Kwani hiyo kazi ya kumbomoa Mbowe ndio aliotumwa na wanakilombero?
 
Kwa yale mapambio Lijuakali hawezi kukosa kazi,si ajabu akaja kuwa mkuu wako wa wilaya,save my comment.
atakosaje kazi bwana hata kama ikishindikana pale Lumumba , hata za kulisha mifugo kwa kasiri la baba mkwe!! aaaaah
 
atakosaje kazi bwana hata kama ikishindikana pale Lumumba , hata za kulisha mifugo kwa kasiri la baba mkwe!! aaaaah
Yule ataula mpaka tu maana mzee anapenda vijana wa aina yake.
 

Kuna tofauti gani na huyu aliyejenga uwanja wa ndege kwao, huku ndege inayotua huko ni ya kwake tu? Au hujui unachokataa ndio kinachoendelea na unaona sawa?
 
johnthebaptist,

Tena mbaya zaidi juzi amekiri kuwa hakusinda kihalali aliiba kura kwenye chumba cha kuhesabia kura.
Kajikata mkia mwenyewe.

Kwa maneno hayo alitaka kuwafurahisha ccm, lakini hata ccm wenyewe wanamuona bonge la dunya, maana wakiona wanavyoshinda, na walichofanya uchaguzi SM wanamdharau japo wanamsifia kwa kumng'ong'a
 
Kuna tofauti gani na huyu aliyejenga uwanja wa ndege kwao, huku ndege inayotua huko ni ya kwake tu? Au hujui unachokataa ndio kinachoendelea na unaona sawa?
Huko nako wamesoma mkuu. Enzi umeme ukifungwa mgombani kisa tu waziri akatokea huko na huku ukiacha kupelekwa sehemu potential zenye economic benefit kwa Taifa letu. Walisema kuwa wamesoma ndo lilikuwa jibu. Unamkumbuka mramba alivyojibu Taifa bungeni kuwa wao kujazana TRA ndo wamesoma. Saivi na wao wamesoma mkuu.
 

Kwa hiyo umeme wa hapa Dar ulifungwa kwakuwa kulikuwa na waziri/rais mzaramo?
 
Mkuu siku zote malaya haaminiki
 
Hilo ni taifa la wajinga na mang'ombe kila kitu kinaenda Kama ninyi ni mazombi

Taifa limejaa matakataka na wajinga
 

Kumbe huyu Lijualikali ni Mndamba na sio Mpogoro. Wapogoro nimeishi nao Sofi Majiji. Ni watu waungwana sana, nilikuwa najiuliza Mpogoro toka lini akawa SNITCH!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…