Kilometers pamoja na speed havisoma gari ikikaa juani mda mrefu

Kilometers pamoja na speed havisoma gari ikikaa juani mda mrefu

Pirate of Carribean

Senior Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
116
Reaction score
189
Habari wadau.,

Gari yangu inatatitizo endapo kama itakaa juani mda mrefu ukiwasha kama hazisom kwenye dashboard na ukitembea mshale wa speed hausomi pia inachange gear katika high rpm.

Mpaka baadae baadae inarudi normal, shida itakua ni nini?
 
Back
Top Bottom