Pirate of Carribean Senior Member Joined Sep 4, 2019 Posts 116 Reaction score 189 May 27, 2023 #1 Habari wadau., Gari yangu inatatitizo endapo kama itakaa juani mda mrefu ukiwasha kama hazisom kwenye dashboard na ukitembea mshale wa speed hausomi pia inachange gear katika high rpm. Mpaka baadae baadae inarudi normal, shida itakua ni nini?
Habari wadau., Gari yangu inatatitizo endapo kama itakaa juani mda mrefu ukiwasha kama hazisom kwenye dashboard na ukitembea mshale wa speed hausomi pia inachange gear katika high rpm. Mpaka baadae baadae inarudi normal, shida itakua ni nini?
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 May 27, 2023 #2 Gari gani hio
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 27, 2023 #3 Kuna fuse ina issue.
Pirate of Carribean Senior Member Joined Sep 4, 2019 Posts 116 Reaction score 189 May 27, 2023 Thread starter #4 USM ALGER said: Gari gani hio Click to expand... Gx100