kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Inategemeana na ukubwa engine mfano gari za cc isiyozidi 1900 husinunue ikiwa imezidi 60000 kmWakuu Gari ikiwa imetembea kilomita ngapi haifai kununua......
Msaada tafadhali
Cc isiyozidi 3000 chukua gari chini ya 150,000km
Cc isiyozidi 5200 unaweza ukachukua gari chini ya 300,000 km..