Kilomita za Gari

Kilomita za Gari

Wakuu Gari ikiwa imetembea kilomita ngapi haifai kununua......
Msaada tafadhali
Usiangalie kilometers angalia uzima wa gari kuna gari zina km chini ya laki lakini zimechoka kabisa na nyingine zaidi ya laki 3 lakini ziko bomba hasa
 
Usidanganyike na km. Ila pia ni vyema kuwa makini. Mimi ninagari imetengenezwa 2000 dashboard inasoma kwa miles ambayo ni 140 sawa na km 190+ . Lakini kufikia 180 ni dakika tu. Hadi leo sijafungua engine na ukiwasha unaona mvuke nyuma. Muda huu lina km190,000 +. Hili mara nyingi natumia mimi mwenyewe ila kuna niliyonunua 2010 ikiwa na 1000 km ni balaa. Kutafuta 140 ni shughuli maana madereva wameshanya yao na muda huu lina km120+
 
bro. hivi ukiwasha afu ikawa inatoa mvuke nyuma ni ishara gani?
 
Usiangalie kilometers angalia uzima wa gari kuna gari zina km chini ya laki lakini zimechoka kabisa na nyingine zaidi ya laki 3 lakini ziko bomba hasa
Kwa mtu anayeagiza online, unaweza vipi kufanya judgement based on your point? Na wakati mwingine hawatoi service history ya gari. Nyie wazoefu hebu tupeni mwanga hapa.
 
Kwa mtu anayeagiza online, unaweza vipi kufanya judgement based on your point? Na wakati mwingine hawatoi service history ya gari. Nyie wazoefu hebu tupeni mwanga hapa.
Za kwenye mitandao epuka gari za Dubai lakini pia price matters haiwezekani gari mbili model moja nk bei itofautiane kwa zaidi ya USD 1000

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Nahisi hii ni sawa na kusema ni umri upi wa mwisho kwa mwanaume kufanya mapenzi??
 
Kama unaagiza gari nje Km ni jambo la muhimu ukiacha story za kushushwa kms n.k kuna mtu anauza farasa mwenye miaka 5 na mwingine faras mwenye miaka 15. Huwez ukasema hawa wapo sawa. Tunafaham umri unavyoenda mbele na uchovu unasogea. Kama unaagiza gar japan angalia Kms Ngap imetembea. Usidanganywe kuwa haijalishi. Inajalisha sana. Huwez ukasema ukiniwekea gari ya mwaka 2010 moja km 10,000 na nyingine 100,000. Mimi ninunue ya km 100,000. Ntakuwa nina matatizo ya akili.
Hayo ya kushusha kms yapo sana tz but wenzetu uhuni huo hawafanyi. But pia unaponunua gari inakaguliwa kama unanunua kwa mtu. Utashtuka tu gari imenunuliwa japana na kuletwa tz mwaka 2005 jamaa ameendesha leo anauza inasoma km 40,000. Si unakagua documents huwa zinasoma. So ndugu yangu zingatia pia kms
 
Back
Top Bottom