Kilomoni ni Mzee wa kupigiwa mfano, ampa somo mwekezaji kajanja

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Mzee kilomoni amefanya mahojiano na kuweka bayana kuwa mwekezaji wa Simba Mo ni MTU mjanja mjanja mtu anayetaka kuimiliki Simba kwa kutumia mgongo wa viongozi wabovu walioko Simba wakiongozwa na kilaza nkwambi ambaye aliupata uwenyekiti wa Simba kwa rushwa ya mwekezaji

Mzee kilomoni amesema yupo tayari kutoa hati za Simba kama tu mwekezaji atafuata mashariti ya mkataba
Amesema mwekezaji anatakiwa aweke billion 20 kwenye account ya Timu na kuacha ujanja ujanja wa kutumia pesa alizovuna Simba kwenye michezo ya kimataifa na kuzigeuza za kwake

Pia amegusia kuwa Mo amefaidika zaidi toka aingie Simba kuliko Simba ilivyonufaika ametolea mfano amesema Mo anatumia nembo ya Simba kufanya biashara ila pesa ya uwekezaji hataki kutoa!!! Je huyu ni mwekezaji kweli?

Tunashukuru mzee kilomoni kwa kulinda heshima ya klab yetu na kukataa klabu kuwekwa mfukoni na MTU
Tunajua anataka hati ili aende kukopa kwenye mabenki afanye biashara zake na baadae anaweza kuiuza club kwa MTU mwingine bila sisi kujua

Nakupongeza sana Mzee kilomoni kwa kukataa pesa za mo japo alikufuata hadi kwako akitaka akurubuni, usiwe kama kina nkwambi waliowekwa mfukoni na mo hatar hawajui majukumu yao

Tuwaenzi wazee wetu
 
Mzee kilomoni anataka muamala apewe
 
Usikute wewe ndiyo Mzee kilomoni mwenyewe
 
Yeye mzee kilomoni amewekeza bilioni ngapi simba? Je! Anaweza kutuambia tangu simba ianzishwe ameisaidia pesa kiasi gani mpaka sasa?

Atulete horodha ya wachezaji alio wasajili na kiasi cha mishahara anachowalipa pamoja na gharama za uendeshaji wa timu alichotumi. Kisha ndio aanze kuhoji juu ya pesa za uwekezaji wa mohamedi dewji.

wenye akili za kiyanga yanga nadhani mtakua mpepata pakuanzia kwa hoja hii.
 
Nadhani yy uwekezaji wake ni kulipia Hati na kodi ya jengo la club ya Simba sc ,labda na kadi ya uanachama
 
inakuwaje huyu mzee anashindwa kunyang'anywa?? Kwani Sunderland ndio jina lake ye sikashika kwaniaba ya wwnachama wengine? hivi vizee hivi si vyakusukuma na kudondoka

Wanaume wa dar es saalam wanakwama wapi
 
Mzee kilomoni ni mdhamini wa Simba yeye kazi yake ni kuhakikisha Mali za Simba zipo salama
Anapotokea mwekezaji muhuni anataka aimiliki Simba kwa kupindisha utaratibu haitakubalika

Back
Top Bottom