Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
- Thread starter
- #21
Kilomoni anawakilisha kundi kubwa,nenda hata wewe kwake ukamtishie amani afu utajua kitakachokupata
inakuwaje huyu mzee anashindwa kunyang'anywa?? Kwani Sunderland ndio jina lake ye sikashika kwaniaba ya wwnachama wengine? hivi vizee hivi si vyakusukuma na kudondoka
Wanaume wa dar es saalam wanakwama wapi