Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
- Thread starter
-
- #21
inakuwaje huyu mzee anashindwa kunyang'anywa?? Kwani Sunderland ndio jina lake ye sikashika kwaniaba ya wwnachama wengine? hivi vizee hivi si vyakusukuma na kudondoka
Wanaume wa dar es saalam wanakwama wapi
Kama ni hivyo kwanini mnashindwa kumpa huo Muamala ili akae kimya na kuwapa Hati?Mzee kilomoni anataka muamala apewe
Big up Mzee KILO!Nimeipenda hoja moja ya Mzee Kilomoni. Haiwezekani mwekezaji ndiyo aamue thamani ya Club. Mnunuzi hajipangii bei. Hili lipo Simba tu.
HahahahaKama ni hivyo kwanini mnashindwa kumpa huo Muamala ili akae kimya na kuwapa Hati?
Kama ni hivyo kwanini mnashindwa kumpa huo Muamala ili akae kimya na kuwapa Hati?
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝inakuwaje huyu mzee anashindwa kunyang'anywa?? Kwani Sunderland ndio jina lake ye sikashika kwaniaba ya wwnachama wengine? hivi vizee hivi si vyakusukuma na kudondoka
Wanaume wa dar es saalam wanakwama wapi
Asilimia 45% kwa wawekezaji 3 lazima mfuate sheriaHati mpya imeshapatikana.Yeye akae na hiyo ya zamani itamsaidia. BRELA hatambuliki.Amebakia kuitisha mikutano na waandishi wa habari.Simba sio mali yake.Ni mali ya wanachama wa Simba.
Mkuu jaribu kufikiri na mbeleEti toka aingie Simba amenufaika sana, kwani amenufaika na timu inapata matokeo na kuleta maendeleo ya mpira kuna shida gani?
Watu masikini sijui wana shida gani?