Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Ongeza na "Dog" iwe stupid dogStupid
huyo Mo why asianzishe timu yake kama azam? aache janja janja.. mbona kazikimbia singida utd na kaikimbia african lyon..
anatumia jina la simba kujinufaisha.. jezi ya simba ina lebo ya mo energy kwa mkataba upi?
Kwani simba ikiuzwa shida ni nini?
Wengi wape mkuu.. Bora iuzweLeo kuna Kiongozi wa simba ameita waandishi wa habari lengo kuu ikiwa ni kumtia mkwara mzee kilomoni asalimu amri aungane na matapeli yaliyojivika jina la uwekazaji
Mzee milimani tu nakuhakikishia sisi tulioapa simba haitauzwa kwa mtu Tupo imara kuliko wakati wowote
Na wakitaka kujua ngumvu ya mamba kwenye maji watumie wanasheria wao wakupeleke mahakamani ndio watajua nguvu ya simba hasa ipo wapi
Kama manji alivyoikimbia yanga hata yeye ataikimbia tu
Leo kuna Kiongozi wa simba ameita waandishi wa habari lengo kuu ikiwa ni kumtia mkwara mzee kilomoni asalimu amri aungane na matapeli yaliyojivika jina la uwekazaji
Mzee milimani tu nakuhakikishia sisi tulioapa simba haitauzwa kwa mtu Tupo imara kuliko wakati wowote
Na wakitaka kujua ngumvu ya mamba kwenye maji watumie wanasheria wao wakupeleke mahakamani ndio watajua nguvu ya simba hasa ipo wapi
Kama manji alivyoikimbia yanga hata yeye ataikimbia tu
Sijataka iuzwe na wala mimi sio mshabiki mkubwa wa mpira wa Tanzania kwasabu haunivutii ila sioni ajabu kwa timu kumilikiwa na mtu maana nyingi tu zinamilikiwa na watu tena club kubwa duniani.Unataka simba iuzwe kwanini? Katiba ya simba inaruhusu wawekezaj na sio mtu mmoja atake kuimliki
Sijataka iuzwe na wala mimi sio mshabiki mkubwa wa mpira wa Tanzania kwasabu haunivutii ila sioni ajabu kwa timu kumilikiwa na mtu maana nyingi tu zinamilikiwa na watu tena club kubwa duniani.
Ndio maana nauliza simba ikiuzwa tatizo ni nini?itafanya vibaya kwenye ligi au itapotea au nini tatizo haswa.
Alisema imepotea so simba mpya imeenda kuomba hati mpya serikalin coz Ardhi ni mali ya serikali so huyo mzee hana jipya tena
huyo Mo why asianzishe timu yake kama azam? aache janja janja.. mbona kazikimbia singida utd na kaikimbia african lyon..
anatumia jina la simba kujinufaisha.. jezi ya simba ina lebo ya mo energy kwa mkataba upi?
na kuna picha za wachezaji wa SIMBA kwenye mabango ya matangazo ya vinywaji vya Mo! Sijui wqchazaji wanalipwa haki za matangazo yale!
achieni timu nyinyi,miaka zaidi ya 70 hata uwanja wa mazoezi hakuna...mnaishi kwa kunyonya maziwa ya simbaWalipwe wapi hawa makabacholi wanavyodharau wabongo
Yaani mashabiki wa vyura bana, mo mbona atawapelekesha sana pamoja na huyo mzee wenu kilomoni asiyejulikana popote kwa sasa ndani ya simba. Na msichojua kuhusu mo extra ni kwamba waliingia udhamini wa miaka 2 kwa shilingi milioni 280 kama sijakosea, mwakani mkataba utaisha na utaongezwa mwingine tena. Kumbukeni kinywaji cha mo extra ni moja kati ya vimiminika vingi vinavyozalishwa ndani ya kampuni ya metl ambayo mo ndie mtendaji mkuu.huyo Mo why asianzishe timu yake kama azam? aache janja janja.. mbona kazikimbia singida utd na kaikimbia african lyon..
anatumia jina la simba kujinufaisha.. jezi ya simba ina lebo ya mo energy kwa mkataba upi?