CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Haya mambo yatakuchelewesha sana brotherWatanganyika wangapi ni ma DC Unguja na Pemba?
Yatamchelewesha wapi? Wewe ni zuzu hufikirii na wala hujitambuiHaya mambo yatakuchelewesha sana brother
Ngoja nione akatavyo maliza mambo ya wakulima na wafugaji hukoMkuu Wewe humu unaheshimika Sana,haya sio ya Great thinkers
Naona DC bampa to bampaShaka kama Shaka fresh lakini mwanangu gonga kazi
Wacha tumwombee tuNgoja nione akatavyo maliza mambo ya wakulima na wafugaji huko
Kwa tunayo ijuwa hiyo wilaya na changamoto hiyo,tutakuwa wafuatiliaji
Ova