Kilwa Road: Barabara ya mwendokasi imefungwa ilihali hakuna basi lolote linalopita, tunateseka na foleni!

Sema walitakiwa watatue changamoto ya foleni wakati wa ujenzi kwasababu mwisho wa siku mwendokasi zitaanza na changamoto itarudi.

Mfano mataa ya Veta wameweka single lane yenye barrier kwenda Chang'ombe, zile semi zinazoingia viwandani zikiharibika katikati ya barabara, watumiaji wataimba haleluya. Bora wasingejenga vituo pale mwanzo na kuweka barabara mbili za kwenda na kurudi. Same applies to Buguruni pamoja na eneo kubwa kubaki wameweka single
 
𝑱𝑬 𝒔𝒆𝒓𝒊𝒌𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒆𝒕𝒖 𝒊𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒔𝒐𝒎𝒊 𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊?
 
Upembuzi yakinifu imekuwa neno la Kisiasa!
Watu wanajenga vitu vya hovyo mpaka mtu unajiuliza hawa jamaa wamesoma nini?
 
Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu.

Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwaninini mnatunyanyasa?
Nyie watu wa Mbagala shida sana. Njia ya mwendokasi ni kwa ajili ya mabasi tu, jaribu kuzoea hilo.
Mmezoea kwenda kinyume na taratibu, na hatujasahau hata daladala wengine wanaingilia dirishani.
 
Vituo vya barabata hiyo vimeanza kuharibiwa kabla haijaanza kutumika.
Mabomba ya kupokea maji ya mvua ambayo nayo hayana ubora vituoni yamevunjwa na magari na pikipiki zinazopita barabara hiyo.
Waifunge tu
 
Wao ndio wamejenga chini ya kiwango!
Gata za kukingia mvua zimeharibiwaje na Magari na pikipiki?
Au Gari zinatembea angani siku hizi?
Wao ndio wamejenga vitu chini ya kiwango!
 
Nyie watu wa Mbagala shida sana. Njia ya mwendokasi ni kwa ajili ya mabasi tu, jaribu kuzoea hilo.
Mmezoea kwenda kinyume na taratibu, na hatujasahau hata daladala wengine wanaingilia dirishani.
Hiyo Barabara Iko congested,Hii Barabara ingetumika wakati wa asubuhi na jioni ingesaidia.
Tusiishi Kwa kukariri.
 
Wao ndio wamejenga chini ya kiwango!
Gata za kukingia mvua zimeharibiwaje na Magari na pikipiki?
Au Gari zinatembea angani siku hizi?
Wao ndio wamejenga vitu chini ya kiwango!
Hili nimeliona ndiyo maana nasubiri wakabidhi barabara nisikie serikali inasema nini kuhusu hilo.
Kuanzia VETA mpaka Mbagala gata nyingi zimenyofolewa na magari yanayopita njia hiyo.
Hata hivyo magari yanayopita kwenye njia ya mwendo kasi yanachangia uharibifu wa kingo, vigingi na alama za barabara hizo.
 
Sema walitakiwa watatue changamoto ya foleni wakati wa ujenzi kwasababu mwisho wa siku mwendokasi zitaanza na changamoto itarudi.

Mfano mataa ya Veta wameweka single lane yenye barrier kwenda Chang'ombe, zile semi zinazoingia viwandani zikiharibika katikati ya barabara, watumiaji wataimba haleluya. Bora wasingejenga vituo pale mwanzo na kuweka barabara mbili za kwenda na kurudi. Same applies to Buguruni pamoja na eneo kubwa kubaki wameweka single
nilishawahi kisema mm hilo suala mara kumi wangeweka barabara ya kupita gari 2 kwa kipa pande kuliko mwendokasi
 
Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu.

Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwaninini mnatunyanyasa?
Hiyo ni miundombinu ya Mwendokasi. Mkandarasi aliyejenga ana mkataba wa kukabidhi mradi ukiokamilika. Watanzania hawana nidhamu kwenye mali ya umma. Wanaendesha magari hovyo, wanagonga miundombinu kwa haraka na uzembe wao. Kama mkandarasi hajakabidhi kazi, basi mtaendelea kusota kwenye foleni tu mpaka akili ziwakae sawa.
 
barabara imekwisha lakini barabarani giza totorooo ! Kuzilinda barabara ni pamoja na kuweka taa ili usiku madereva waweze kuona vizuri.Hii sio hisani ni wajibu kwa serikali.Taa za solar zipo .Mbona barabara kama za mbweni taa zimewekwa iweje hiyo barabara mpaka leo hii haina taa ??????
 
Nyie watu wa Mbagala shida sana. Njia ya mwendokasi ni kwa ajili ya mabasi tu, jaribu kuzoea hilo.
Mmezoea kwenda kinyume na taratibu, na hatujasahau hata daladala wengine wanaingilia dirishani.
Watu wa Mbagala walipaswa wawe sehemu ya mkoa wa Pwani au Lindi. Kitu kinaitwa ustaarabu, uvumilivu, utaratibu, uungwana hawanacho kwenye misamiati yao.
 
Kumbe ndio maana nasikia viongozi wawapuuza.
 
Back
Top Bottom