Kilwa Road: Barabara ya mwendokasi imefungwa ilihali hakuna basi lolote linalopita, tunateseka na foleni!

Kilwa Road: Barabara ya mwendokasi imefungwa ilihali hakuna basi lolote linalopita, tunateseka na foleni!

Wanazoaga wanaiba tu. Temeke na Mbagala CCM haijawahi kupendwa.
Najua ndio maana nasema wanazoaga tu,na Wananchi tunakula buyu Kali.
Bado poa tu,ila kwa hili wamezingua.
Nimekwama na mgonjwa kwenye foleni,kidogo nimpandishe Bodaboda!
 
Sema walitakiwa watatue changamoto ya foleni wakati wa ujenzi kwasababu mwisho wa siku mwendokasi zitaanza na changamoto itarudi.

Mfano mataa ya Veta wameweka single lane yenye barrier kwenda Chang'ombe, zile semi zinazoingia viwandani zikiharibika katikati ya barabara, watumiaji wataimba haleluya. Bora wasingejenga vituo pale mwanzo na kuweka barabara mbili za kwenda na kurudi. Same applies to Buguruni pamoja na eneo kubwa kubaki wameweka single

Design nzima ya BRT inafavor mabasi ya BRT tu, magari mengine yamejengewa kijibarabara...
 
Back
Top Bottom